Sura Yako Remix– Sauti Sol Feat. Iyanya, My Number One Remix– Diamond Platnumz Feat. Davido ziko kwenye kumbukumbu ya ngoma kali kuwahi kutokea Africa, leo nakupa hii ya mkali kutoka Uganda Jose Chameleone ambaye nae ameingia kwenye list ya wakali wa East Africa kufanya collabo na mastaa wa Nigeria.
Hii ni audio ya Chameleone ambayo anaiachia huku kwenye chati ya zinazofanya vizuri kwa sasa ipo yake Feat. Prof. Jay– ‘Kwa Ajili Yako‘.
Bonyeza play uisikie… Jose Chameleone Feat. Patoranking– ‘Only You’ (Audio)
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook