Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Top 10 ya viwanja vya ndege vilivyokuwa busy zaidi duniani 2016
Share
Notification Show More
Latest News
Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
March 20, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 20, 2023
March 20, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Duniani > Top 10 ya viwanja vya ndege vilivyokuwa busy zaidi duniani 2016
Duniani

Top 10 ya viwanja vya ndege vilivyokuwa busy zaidi duniani 2016

March 10, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Rekodi mbalimbali zimewekwa katika mambo mengi Duniani kuanzia michezo, sanaa, magari, nyumba, hotel na mengine huku wahusika wakijitahidi pia kujiweka tayari kuzilinda rekodi hizo.

Leo March 10 2017 vimetajwa viwanja vya ndege ambavyo vilioongoza kwa kuwa busy zaidi duniani mwaka 2016 ambapo Hartsfield-Jackson Atlanta International Airport kimeongoza kwa abiria milioni 104 waliofanya safari zao kupitia uwanja huo ikiwa ni mara ya 19 mfululizo.

10: Paris-Charles De Gaulle Airport, France

Unakamata nafasi ya 10 katika list hii baada ya kuhudumia abiria zaidi ya milioni 66 mwaka 2016.

9: Shanghai Pudong International Airport, China

Zaidi ya abiria milioni 66 mwaka 2016 ambao ni ongezeko la 10%.

8: Hong Kong International Airport, China

Hong Kong inakamata nafasi ya nane kwa kuhudumia abiria zaidi ya milioni 70 mwaka 2016.

7: London Heathrow Airport, United Kingdom

Abiria wanaotumia Heathrow waliongezeka kwa 1% na kufanya zaidi ya milioni 75 mwaka 2016 hivyo kuuangushia nafasi ya saba kutoka sita mwaka uliopita.

6: Chicago’s O’Hare International Airport, United States

Uwanja mkubwa zaidi mjini Chicago ulihudumia abiria zaidi ya milioni 78 mwaka 2016 ongezeko la 2%.

5: Tokyo’s Haneda International Airport, Japan

Zaidi ya abiria milioni 79 mwaka 2016 ongezeko la 6% wanaifanya Haneda kukamata nafasi ya tano.

4: Los Angeles International Airport, United States

Uwanja maarufu zaidi Southern California ulisafirisha abiria milioni 81 mwaka 2016, 8% zaidi ya 2015.

3: Dubai International Airport, United Arab Emirates

Uwanja uliokuwa busy zaidi Middle East, Dubai ulihudumia abiria zaidi ya milioni 83 mwaka 2016, zaidi ya 7% ukilinganisha na 2015.

2: Beijing Capital International Airport, China

Ukihudumia zaidi ya abiria 94 million mwaka 2016, ongezeko la 5%, Beijing umeendelea kuifukuzia namba 1.

1: Hartsfield-Jackson Atlanta International Airport, USA

Ulikuwa busy zaidi duniani mwaka 2016 ukihudumia zaidi ya abiria milioni 104 mwaka 2016 ongezeko la 3%.

VIDEO: Ulikosa hii Polisi DSM kuongea kuhusu kukamatwa kwa Vanessa Mdee? Bonyeza play hapa chini kutazama

 

You Might Also Like

Silent Ocean imetupitisha kwenye Masoko ya vifaa mbalimbali Dubai, tazama (video+)

Forbes wamtangaza Melinda alieachana na Bill Gate kuwa Bilionea mpya, ashika namba hii

Picha za visiwa 10 vizuri zaidi duniani

Utafiti: Kuanzia miaka 55 watu wengi huchukia ajira zao….sababu?

NEW YORK! Swizz Beatz kamtumia salamu Diamond Platnumz

TAGGED: duniani, Top 10
Millard Ayo March 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: CHADEMA wamezungumzia mwenendo wa utekelezaji wa bajeti ya Serikali
Next Article Surprise aliyofanyiwa Eto’o na wenzake mazoezini katika Birthday yake
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.
Top Stories March 20, 2023
Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .
Top Stories March 20, 2023
Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.
Top Stories March 20, 2023
Serikali ya Taliban yapiga marufuku zao la bangi.
Top Stories March 20, 2023

You Might also Like

Top Stories

Madiwani (3) Waandamanaji 87,wakamatwa nchini Afika ya kusini.

March 20, 2023
Top Stories

Jela kwa mauaji,kuchomoa moyo na kuupika kulisha familia yake “Ninawaondolea mapepo” .

March 20, 2023
Top Stories

Tunisia yaadhimisha Miaka 67 ya Uhuru.

March 20, 2023
Top Stories

Video: Jamaa atumia dakika 8 kula Wali na nyama kilo mbili

March 19, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?