Mchekeshaji Mc PiliPili amefanya exclusive interview na Ayo Tv na kuzungumzia mipango yake baada ya kupata tuzo nchini Nigeria kama mchekeshaji bora kijana wa mwaka na miongoni mwa mipango yake ni kurudi shule ili kujifunza kiingereza.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama full interview.
MC Pilipili – “Joti kuoa inamaanisha wachekeshaji ni watu serious na wanaweza kupenda”