Habari za Mastaa

Chege kaulizwa, ana mpango wa kumuoa aliyempost Instagram?

on

Baada ya show ya Fiesta Kahama, Ayo TV na millardayo.com zilipiga stori na mmoja wa wasanii wa muda mrefu Bongoflevani Chege kutokea TMK ambapo mbali ya kueleza namna alivyopokelewa na mashabiki wake kwa stage, aliulizwa pia kuhusu mpango wake na mwanamke aliyempost Instagram.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiliza FULL STORY kutoka kwa CHEGE..

SAKATA LA MTOTO: Sugu na Faiza wajibizana mitandaoni

Soma na hizi

Tupia Comments