AyoTV

VIDEO: Tazama Rais Magufuli alivyoondoka Tanzania leo, kapanda Ndege ya abiria

on

Hii ni video inayomuonyesha Rais John Magufuli wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania akipanda Ndege ya abiria kuondoka Tanzania Leo January 28 2017 na kuelekea Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za AU, video yenyewe ndio hii hapa chini

VIDEO: Ulipitwa kuona jinsi Makomando wa Tanzania walivyoonyesha uwezo wao mbele ya Rais Magufuli? bonyeza play hapa chini kwenye hii video kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments