AyoTV

FULL VIDEO: Rais Magufuli kafanya ziara ya kushtukiza Airport Dsm na lipo swali alilojiuliza

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo February 08 2017 amefanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa jengo jipya la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam (Terminal 3), hii video hapa chini ina taarifa kamili

VIDEO BUNGENI: Hussein Bashe kayataja mambo matatu Tanzania inakabiliwa nayo sasa hivi, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kuyafahamu yote

Soma na hizi

Tupia Comments