Top Stories

Ninayo ripoti ya Rais Magufuli alivyothibitisha kumsimamisha Mkurugenzi shirika la reli

on

Siku ya December 22 2015 inanifikia ripoti nyingine inayohusiana na maamuzi ya Rais John Magufuli Ikulu Dar es Salaam.

Ripoti yenyewe inahusu kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania RAHCO, Mhandisi Benhadard Tito.

Kwenye ripoti hiyo kuna taarifa kwamba Mkurugenzi huyo amesimamishwa kwa tuhuma za kukiuka taratibu za manunuzi katika mchakato wa utoaji wa zabuni ya ujenzi wa reli ya kati.

Kingine ni kwamba Rais Magufuli ameivunja bodi ya RAHCO baada ya kujiridhisha kuwa haikutekeleza ipasavyo wajibu wake katika kusimamia mchakato wa zabuni hiyo.

Taarifa yote nimekuwekea hapa chini.

JPM

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments