AyoTV

Katibu Mkuu wa TFF kaja mbele ya waandishi kujibu tuhuma nzito dhidi ya TFF

on

Katibu Mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF Kidao Wilfred leo alikuwa mbele ya waandishi wa habari kuelezea na kujibu tuhuma zilizokuwa zimeandikwa na gazeti la Tanzanite likihituhumu taasisi hiyo kufuja pesa za shirikisho hilo.
Kidao ametoa ufafanuzi na kutoa notisi ya siku saba kwa gazeti hilo liombe radhi na kuonesha kuwa TFF ilipokea pesa kutoka UEFA  la sivyo watapeleka mbele ya sheria kwa kuwachafua kushusha hadhi ya shirikisho hilo.

MO Dewji alivyojitokeza Taifa kwa mara ya kwanza baada ya siku 49 toka atekwe

Soma na hizi

Tupia Comments