Top Stories

VIDEO: Shabiki wa soka aliyetumia siku 50 kuifuata AFCON kakutana na Rais wa CAF

on

AyoTV imekutana na shabiki wa soka wa Zimbabwe aliyesafiri kwa barabara kutokea Zimbabwe hadi Cairo kwa ajili ya kuisapoti timu yake ya Zimbabwe lakini ametumia siku 50 njiani na kufika Cairo timu yake ikiwa imetolewa AFCON 2019.
Rais wa CAF Ahmad Ahmad baada ya kupata taarifa hizo aliomba kukutana na kijana huyo na kumpa VIP Tiketi kwa ajili ya mchezo wa fainali Senegal na Algeria unaochezwa leo July 19 2019 pamoja na kuahidi kumlipia gharama za tiketi ya ndege kurudi Zimbabwe.

VIDEO: Mtangazaji wa Ennahar TV amwaga machozi Algeria ikitinga nusu fainali AFCON

Soma na hizi

Tupia Comments