Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Jopo la wanunuzi wakubwa wa Tanzanite Duniani latembelea Mirerani
Share
Notification Show More
Latest News
Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
January 28, 2023
Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
January 28, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > VIDEO: Jopo la wanunuzi wakubwa wa Tanzanite Duniani latembelea Mirerani
AyoTV

VIDEO: Jopo la wanunuzi wakubwa wa Tanzanite Duniani latembelea Mirerani

November 5, 2019
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya kukamilika kwa ujenzi wa ukuta wa mirerani na baadhi ya faida zake kuanza kuonekana moja kwa moja , kwa kushirikiana na chama cha wafanyabiashara wa madini nchini TAMIDA… Jopo la wanunuzi wakubwa wa Tanzanite duniani limetembelea eneo la machimbo ya migodi ya Tanzanite.

Shabaha ikiwa ni kujionea na kujiridhisha namna madini hayo yanavyo chimbwa na jitihada ambazo tayari zimefanyika katika udhibiti utoroshaji wa madini hayo, ambao kwa namna moja au nyingine ulikuwa ukiathiri bei ya madini hayo.

September 2017 wilayani Simanjiro mkoani manyara katika eneo la machimbo ya migodi ya madini ya Tanzanite Mirerani, Rais Dr John Magufuli alitoa agizo la kujengwa ukuta eneo lote la migodi hiyo na kuwa na mlango mmoja pekee ili kudhibiti ujichambaji holela na utoroshwaji wa madini ya Tanzanite.

Kwa sasa tayari Imeelezwa kuwa mapato ya serikali yameongezeka kutoka milioni 70 mpaka kufikia takribani Bilioni tatu kwa mwaka, Kwa upande wao wageni walio tembelea migodi hiyo kutoka nchini Marekani wameonesha kuridhishwa na hatua ya ujenzi wa ukuta na kuanza kuamini kuwa madini hayo yanapatikana Tanzania pekee.

VIDEO: Mpoki alivyomvunja mbavu Rais Mstaafu Kikwete

You Might Also Like

Rais Samia afika kwenye kaburi la hayati Magufuli huko Chato

Nick Minaj akataa kuchanjwa chanjo Covid-19, asema “Mtu kawa mgumba”

Msemaji Mkuu wa Serikali afunguka “Tumeongeza marubani watanzania 100”

Picha:Uongozi wa Simba wamzawadia gari Musa Mgosi

Watumishi 9 wasimamishwa kazi (JNIA)

TAGGED: Ayo TV, AyoTV
Rama Mwelondo TZA November 5, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Yusuph Jackson ndio jamaa aliyeshinda Renault Kwid
Next Article AUDIO: Kauli ya Msuva baada ya kupokea kwa mshituko Kapombe kustaafu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
Entertainment January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
Entertainment January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
Top Stories January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
Top Stories January 28, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

January 28, 2023
Top Stories

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

January 28, 2023
Top Stories

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

January 27, 2023
Top Stories

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

January 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?