Mix

Eeeh!Wasikie raia walivyojibu kuhusu Mvinyo,Daktari asema ni tiba(+video)

on

Ikiwa ni Februari 7, 2019 tunayo story kutokea mtaani ambapo Ayo Tv na Millardayo.com imeweza kuzungumza na watu kadhaa kuhusu ufahamu wao wanaposikia neno Mvinyo.

Pia Ayo Tv, imeweza kuzungumza na Daktari Henry Tungaraza ambapo amesema Mvinyo ni kinywaji kinachotengenezwa kwa kutumia Zabibu na kinaweza kutumiwa na jamii ya watu wowote.

Kutokana na tafiti inaonyesha wanaume wakitumia glasi moja kwa siku inaweza kuwaepusha na saratani ama magonja ya moyo, hivyo Mvinyo una faida yake mwilini,“amesema.

PROFESA KABUDI: “Maeneo sitamani kwenda katika Ofisi ni chooni”

Soma na hizi

Tupia Comments