AyoTV

VIDEO: Yusuph Manji alivyofika kituo cha polisi kati leo Feb 9

on

Baada ya jana Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kutangaza awamu ya pili ya sakata la dawa za kulevya huku Mfanyabiashara maarufu Yusuph Manji akiwa kwenye list, leo amefika kituo cha kati cha Polisi.

Tamko lilisema siku ya Ijumaa ndio watu hao 65 kwenye hiyo orodha watahojiwa lakini wanaweza kuwahi kabla kwa yeyote anaetaka ambapo Yusuph Manji akaenda kituoni hapo leo saa tano asubuhi.

VIDEO: Alichokizungumza Yusuph Manji baada ya kutajwa na RC Makonda katika tuhuma za dawa za kulevya, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments