Habari za Mastaa

Baada ya Marekani, hizi ni nchi nyingine za Ulaya Alikiba atafanya tour

on

Mwaka 2017 staa wa BongoFlava Alikiba ameamua kuuanza kwa kufanya tour ya muziki kwenye mataifa mbalimbali duniani kama alivyotangaza kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Hapa nimekusogezea ratiba  ya tour akazofanya kwenye bara la Ulaya ambapo ataanza na Ufaransa, Germany, Belgium, Switzerland, Sweden na Amsterdam kuanzia June mpaka July 2017

 

alikiba-45

Alikiba ataendelea kutupatia ratiba za tour hii kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, lakini pia mimi nitakuwa nakusogezea kila kitu hapa kwenye millardayo.com ili kuhakikisha haupitwi na chochote.

VIDEO: MASHAMBULIZI YA ALIKIBA, BARAKA NA DIMPOZ AFTER SCHOOL BASH 2016 >>>

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments