Habari za Mastaa

Kimenuka, Baba Levo na Mr T Touch kisa wimbo mpya “Chuki”

on

Baba Levo amewaka wazi kinachokwamisha wimbo wake mpya kuchelewa na kutoa lawama zake kwa producer Mr T Touch, ambapo amesema amemshamlipa hela zake zote lakini bado amekuwa akimzungusha kwani sasa hivi yupo mikoani na ameshamtumia nauli mara mbili lakini bado anamchelewesha.

Sasa baada ya kuongea na Baba Levo AyoTV na millardayo.com zikamtafuta na Mr T Touch kusikia kutoka kwake. Bonyeza PLAY hapa chini kusikia

Soma na hizi

Tupia Comments