AyoTV

VIDEO: Hii ndio Video ya Waziri Kitwanga akijibu maswali Bungeni na kudaiwa alikuwa kalewa

on

Moja ya stori kubwa Tanzania leo May 20 2016 ni pamoja na hii ya maamuzi ya Rais John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga.

Taarifa iliyonifikia ni kwamba Rais Magufuli amemfuta Waziri Kitwanga kutokana na kuingia Bungeni kujibu swali linalohusu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati akiwa amelewa.

Hii ndio video ikimuonyesha Waziri Kitwanga akijibu maswali hayo Bungeni leo….

ULIIKOSA HII? MANENO YA GODBLESS LEMA NA ESTHER BULAYA BAADA YA HOTUBA YA UPINZANI KUKATALIWA BUNGENI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments