Miji/Nchi

Nigeria yaanza kutekeleza mpango wa kuwapa fedha kila mwezi raia wake

on

Nchi ya Nigeria inakisiwa kuwa taifa lenye idadi kubwa zaidi ya watu barani Afrika ambapo inaelezwa lina zaidi ya watu milioni 170. 

Wakati ikielezwa kuwa uchumi wa Nigeria umeporomoka sehemu kubwa baada ya kuanguka kwa bei ya mafuta duniani. Leo January 03 2016 BBC wameripoti kuwa Serikali ya Nigeria imeanza kutekeleza mpango mpya wa kuwapa fedha za kila mwezi, watu milioni moja maskini na wasiojiweza katika jamii.

Hatua ya kwanza ya kutolewa kwa mshahara huo, ambapo kila mtu atapokea dola 16 kwa mwezi sawa na Tsh 34,923, imeanza katika majimbo tisa kati ya majimbo 16 nchini Nigeria.

VIDEO: Agizo la Rais Magufuli kuhusu kufutwa kwa tozo katika zao la kahawa, Bonyeza play hapa chini

unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments