Premier Bet
TMDA Ad

Mix

Picha15: Waziri Nape, Makamba na Flaviana Matata kwenye Ibada ya Kumbukumbu ya meli ya Mv Bukoba

on

May 21 2016 Tanzania inaingia kwenye majonzi ya kumbukumbu ya kuzama meli ya Mv Bukoba ndani ya ziwa Victoria leo ni miaka 20 tangu meli izame mwaka 1996, Watanzania zaidi ya 1,000 walipoteza maisha.

Ibada ya kumbukumbu imefanyika leo kwenye makaburi ya Igoma Mwanza na kuhudhuriwa na Mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata ambaye ni miongoni mwa watu walipoteza wazazi wao, Mawaziri wa Serikali Nape Nnauye, January Makamba na Viongozi wengine wa Serikali pamoja na wananchi.

Image00001

January Makamba, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira.

Image00003

Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo.

Image00002

Mkuu wa Wialaya ya Ilemela, Manju Msambya.

Image00004

Image00005

Image00006

Waziri Nape, Makamba na Flaviana kwenye tukio la kuwasha mishumaa.

Image00014

Image00009

Image00008

Viongozi wa Serikali kwenye tukio la kuweka Mashada

Image00007

Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula.

Image00010

Mtangazaji wa Clouds Hamis Mandi (B dozen)

Image00011

Image00012

Waziri Nape na Flaviana Matata.

Image00013

Waziri Makamba, Nape na Flaviana kwenye tukio la kuwasha mishumaa kwa pamoja.

Image00016

Samweli Paschal Kijana aliyepoteza Wazazi wake wote yeye alinusurika.

Image00015

ULIIKOSA HII YA SHUHUDA WA PANTONI LA KIGAMBONI INJINI ILIVYOZIMA KATIKATI YA MAJI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments