Habari za Mastaa

Picha 26 za maadhimisho ya miaka 10 ya wanamitindo kwenye Lady in Red

By

on

18Hii ilikua Sherehe za Miaka 10 ya Lady In Red Super Brand ambayo inajishughulisha  zaidi na wabunifu chipukizi wa hapa Tanzania na imefanyika usiku wa February 14 Serena Hotel hapa 88.5 Dar es salaam.

6Wabunifu chipukizi 20 walipata nafasi ya kupita juu ya jukwaa moja kuonyesha mavazi yao mbalimbali waliyobuni kwenye siku hii,ambapo pia kulipigwa mnada baadhi ya vitu kama picha mbalimbali na joho kwa ajili ya kusaidia watu walioathirika na madawa ya kulevya kwenye kituo cha Kikale Youth Care Organization.

38Miongoni mwa watu walikua wakihitaji kununua picha hiyo  ni pamoja na Maria Sarungi ambaye alizidiwa pesa kidogo na Michuzi Media Group ambao wao waliinunua kwa 1,010,000 na Maria Sarungi alikua tayari kuinunua kwa 1,000,000.

20Burudani ilitoka kwa Wanne Star,Babloom Trio Band na Nemo.Mbali na chipukizi hao sherehe hizi pia zilihudhuriwa na Wanamitindo maarufu kama Mustapha Hasanali,Khadija Mwanamboka,ally rehmtulla ,Martin Kadinda na wengine kibao.

27Miaka 10 hii ni  ya Lady in Red ambayo iko chini Asia Idaraous Khamsin mama wa mitindo Tanzania.

37Hizi ni baadhi ya picha kwenye Lady in Red February 14 2014.

34

31

30

32

35

39

11

13

12

14

15

16

17

28

19

22

23

24

26

25

 

Tupia Comments