Mix

List ya wachezaji wanaokimbia ubachela yazidi kuongezeka, baada ya Niyonzima, huyu ndio staa aliyefunga ndoa (+Pichaz)

on

Baada ya kuwa katika uchumba wa muda mrefu wa takribani miaka minne Christine Bleakley na kiungo wa zamani wa klabu ya Chelsea ya Uingereza ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya New York City Frank Lampard, December 20 amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu. Lampard sasa anaungana katika kambi ya wanasoka walioa baada ya kiungo kimataifa wa Rwanda Haruna Niyonzima nae kufunga ndoa mwaka 2015 na mchumba wake wa muda mrefu. Hizi ndio Pichaz 15 za ndoa ya Frank Lampard na Christine Bleakley.

2F890F2C00000578-3367706-image-m-86_1450638901821

2F890F0800000578-3367706-image-a-92_1450639177387

2F88FEBE00000578-3367706-image-a-58_1450637300818

2F88FE2500000578-3367706-image-m-62_1450637583121

2F892CFC00000578-3367706-image-a-124_1450640863775

2F892D4400000578-3367706-image-a-150_1450642023744

2F8915A900000578-3367706-image-m-90_1450639072361

2F88947500000578-3367706-image-a-89_1450631894512

2F89342A00000578-3367706-image-a-127_1450641009313

Nahodha wa Chelsea John Terry na mkewe Toni

Branislav-Ivanovic-arrives-at-the-wedding-of-Christine-Bleakley-and-Frank-Lampard

Branislav Ivanovic na mkewe

Petr-Cech-arrives-at-the-wedding-of-Christine-Bleakley-and-Frank-Lampard

Peter Cech akiwasili na mkewe katika harusi ya Lampard

2F88E52A00000578-3367706-image-m-3_1450634736819

2F88E6CA00000578-3367706-image-a-4_1450634894986

2F88EFFC00000578-3367706-image-m-15_1450635139824

2F8903A500000578-3367706-image-m-57_1450636918425

2F89055100000578-3367706-Ecstatic_The_36_year_old_brunette_beauty_couldn_t_hide_her_glee_-m-51_1450636865741

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments