Habari za Mastaa

Sentensi za Diva kuhusu Prezzo na Diamond Platnumz kwenye interview ya Mkasi Dec 21,2015

on

Mtu wangu kama hukuwa karibu na TV yako kuangalia show ya Mkasi on EATV December 21, 2015 usiku hizi ni sentensi za Mtangazaji wa Clouds FM, Diva aka The Bawse kuhusu uhusiano na rapper kutokea Kenya Prezzo pamoja na ugomvi uliotokea Agosti 24, 2015 kwenye kipindi cha XXL kati yake na Diamond Platnumz.

Kwanza Prezo tulikuwa ni kama marafiki, hatukuwahi kuwa faragha,”Sikutaka Prezo anioe, he is really nice ila simkumbuki kabisa bali namkumbuka kama msanii,Sasa hivi nafanya mambo yangu, I don’t even talk about dating someone– Diva Loveness

Kwanza mimi sijawahi kumtongoza msanii halafu wasanii wengi wa Bongo Fleva ni marafiki zangu, kwanza watu waelewe sana Familia yangu huwa inaumia sana sana kwa hizi scandal-Diva Loveness

.

.

Salama:..’Ebu tuzungumzie kidogo ishu ya wewe na Diamond Platnumz ilikuwaje?

Diva:…‘Ishu ya Diamond mimi niliingia Studio ili niandae kipindi changu ndio ikatokea kilichotokea, ila baadae akaja kuniomba msamehe yaani aliandika barua na ikapita kwenye uongozi wangu kutokana na kile alichokuwa akikizungumza kwani alinidhalilisha nikiwa kama  msichana– Diva Loveness

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments