Habari za Mastaa

Lulu alivyomjibu jamaa aliemtongoza mtandaoni

on

Staa Elizabeth Michael Lulu, amemjibu mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la Nasri Mchemwa ambaye alimtumia ujumbe wa kutaka kuwa naye kwenye mahusiano.

Jamaa aliandika hivi -“umeamkaje Elizabeth Michael Lulu, mzima my love nakusumbua sana ila sio mimi bali ni moyo wangu unasababisha niteseke juu yako kuhusu upendo ulio ndani yangu

 “Usinione nakutania ni umaskini tu,nilionao ningejitoa kwa vyovyote ili uamini sio utani,nakupenda hadi basi”

Lulu akajibu “Asante Baba” huku akiweka ishara ya upendo.

RAIS MAGUFULI “WAISLAMU WAMECHANGA HELA NYINGI KUJENGA KANISA”

Soma na hizi

Tupia Comments