Habari za Mastaa

Wazungu wamepagawa kukutana na Pierre Liquid, kazungumza nao Kiingereza (+video)

on

Pierre Liquid ambaye amekuwa maarufu kutokana na style yake ya uchekeshaji amefika Karatu one stop baraber shop na kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro ambapo amekutana na Watu mbalimbali kutoka ndani na Nje ya Nchi, moja ya mtu aliyekutana naye ni Dada anaewaendesha Watalii ambapo aliokuwa nao walionekana kufurahia kumuona Pierre.

“UGUMU WA MAISHA NIKAAMBUKIZWA UKIMWI GEREZANI, NASUBIRI KIFO, NDUGU WOTE WAMEFARIKI”

Soma na hizi

Tupia Comments