Habari za Mastaa

Madee karekodia mdundo wa producer wa ‘Aye’ ya Davido… details nyingine ziko hapa

on

Kutana na msanii wa bongofleva Madee, ametangaza kwamba sasa hivi hataki tena kuimba nyimbo za shida tena ni midundo ya kuparty tu, single yake mpya inaitwa ‘migulu pande‘ na inatarajiwa kuachiwa anytime kuanzia sasa, unaweza kumtazama kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments