Habari za Mastaa

U HEARD: Majibu ya Madee kuhusu kudaiwa kupigwa na polisi mechi ya Simba vs Yanga

on

U Heard ya leo February 27 2017 inamhusu msanii wa Bongo Fleva, Madee kudaiwa kupigwa virungu na askari uwanja wa Taifa juzi kwenye mechi ya Simba na Yanga, mtangazaji Soudy Brown amepiga Stori na Madee na

“Sijapigwa na afande aliniambia nisogee nyuma, nimefika pale nilikuwa naingia ndani watu walikuwa wanarudishwa nyuma, watu wakirudishwa nyuma kunakuwa na vurugu, katika kurudi nyuma akasema wewe kaa pembeni tiketi yako iko wapi? nikamuonyesha nikaingia ndani”-Madee

Kusikiliza Full Stori, Bonyeza play hapa chini.

ULIKOSA? Diva alivyowakutanisha Live Madee na Mama Makavaka? Bonyeza play hapa chini kutazama 

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments