Breaking News

BREAKING: Kauli ya Uongozi UDSM kuhusu kusimamishwa Chuo kwa Abdul Nondo

on

Chuo Kikuu cha Dar es salaam kimesema kuwa kimemsimamisha chuo Abdul Nondo kufuatana na kanuni za chuo za wanafunzi ambazo zinasema kuwa kama mwanafunzi atafikishwa mahakamani kwa tuhuma zozote inabidi asimamishwe masomo mpaka hapo kesi yake itakapomalizika na atakapopatikana hana hatia atarudishwa masomoni

BREAKING: ”Siko vizuri Kiakili, Barua Nimeona kwenye Mitandao”- Nondo

Soma na hizi

Tupia Comments