Top Stories

Magufuli chupuchupu amtumbue Mkurugenzi “nimemtuma Waziri umedharau”, aomba msamaha (+video)

on

Mkurugenzi wa Kilosa leo June 29, 2020 amemuomba msamha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli “Rais naomba unisamehe, nilidhani natekeleza majukumu kumbe nimejikwaa” Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kilosa”.

RAIS MAGUFULI ALIVYOSAINI NDANI YA HANDAKI MOROGORO

Soma na hizi

Tupia Comments