Top Stories

Majambazi walioiba Bilioni 2 walivyokamatwa, wapo wahalifu 32 (+video)

on

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya jijini Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amesema wamewakamata wahalifu 32 ambao walihusika na wizi wa mabilioni ya fedha kwenye Benki ya NMB.

GONDWE AWAACHA HOI WATU IKULU KASHTUKIZWA KUONGEA NA MSIGWA KAKOSA CHA KUSEMA

Soma na hizi

Tupia Comments