Premier Bet
TMDA Ad

Mix

Sheria mpya Malawi kuhusu umri wa msichana kuolewa

on

malawi

Malawi ni moja ya nchi ambazo zina tatizo kubwa la ishu ya ndoa za utotoni, tafiti zinaonyesha karibu nusu ya wasichana wa nchi hiyo wameolewa wakiwa hawajatimiza miaka 18.

Kutokana na kuendelea kwa tatizo hilo la ndoa za utotoni, Malawi wamepitisha sheria mpya kuanzia sasa umri sahihi wa mtoto wa kike kuolewa ni kuanzia miaka 18.

Sheria hii itasaidia kulinda haki za watoto wetu wa kike.. Hawatakiwi kuozwa wakiwa kwenye umri wa kuwa shule..“– alisema Jessie Kabwila ambaye ni msemaji wa Chama cha Upinzani  cha MCP.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments