BreakingNews

BREAKING: Maamuzi ya Mahakama kuhusu kesi ya Yusuph Manji

on

Leo kwenye Mahakama ya hakimu mkazi kisutu Dar es salaam alifikishwa Mfanyabiashara maarufu ambaye pia ni mwenyekiti wa Club ya Yanga, Yusuph Manji ambaye alikua akishikiliwa na jeshi la Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.

Mahakamani hiyo imetoa dhamana kwa mfanyabiashara huyo na ameachiwa kwa dhamana, amejidhamini mwenyewe kwa Tsh milioni 10 na mdhamini mmoja milioni 10, kesi itasikilizwa tena March 16 2017.

Yusuph Manji alivyofikishwa mahakamani Kisutu DSM

Ulikosa ya Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya, Bonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments