Habari za Mastaa

Maua Sama kadokeza ujio wa collabo yake na T Pain

on

Ni msanii wa kike kutokea kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Maua Sama time hii ametuhabarisha habari njema kuwa Ijumaa hii atadondosha collabo yake na T Pain.

Maua Sama ameujulisha umma na mashabiki wa muziki wake kupitia ukurasa wake wa instagram huku akionesha charts zake na rapper huyo.

Maua Sama kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika…””… And It’s happening soon 🀍🀍🀍 Kesho (FRIDAY) @ 08:30AM muda wetu ni ule uleee! 🌺 x 🐐 x πŸ”‡”- Maua Sama

Kama wewe ni shabiki wa muziki mzuri basi kesho kaa tayari kuipokea collabo hiyo.

NOMA!! MREMBO ANAETIKISA KWENYE MUZIKI WA AMAPIANO APATA SHANGWE DAR

PROFESSOR JAY KAIBUKA KWENYE AFTER PARTY YA SIMBA SC, KAWAIMBISHA MWANZO MWISHO

Soma na hizi

Tupia Comments