Habari za Mastaa

Mayunga ndani ya studio Marekani, audio na video inarekodiwa pembeni Akon !!.. (Video #AyoTV)

on

Mshindi wa Trace Music Star aliyeiwakilisha poa Tanzania kwenye mashindano hayo na kuibuka kifua mbele, Mayunga alifika studio za TZA na kupiga exclusive interview, siku moja kabla ya safari yake Marekani !!

MAYUNGA II

Zilipigwa stori nyingi sana, ikagusiwa safari yake ya Marekani, kurekodi audio na video pamoja na Akon, zile milioni 50 alichofanyia mpaka sasahivi… hizo na nyingine zote ziko kwenye video ya dakika 11 za Mayunga #OnAirWithMillardAYO.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments