Katikati ya Mwezi June 2015 Maisha Club ya Masaki Dar es Salaam ilifungwa, lakini hii ilikuwa mwanzo wa kupata exclusive stories kuhusu kule inakohamia !!
Tukaona pichaz na video na chimbo jipya la Club hiyo pale maeneo ya Makumbusho Dar… kuanzia mwanzo mpaka mwisho, na tukaambiwa jina itaitwa Maisha Basement.
Mzigo umekamilika na wiki hii tayari wapo walioingia ndani kuenjoy na watu wao wa nguvu ndani ya chimbo hilo la chinichini, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda na Meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda walialikwa kwa ajili ya kufanya ufunguzi rasmi.
Cheki pichaz ilivyokuwa jana usiku Maisha Basement.
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.