Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ndio walikua wasanii wa Tanzania pekee waliokuwa wakiwania tuzo za MTV Base zilizotolewa July 18 usiku hapa Durban South Africa ambako Diamond alishinda tuzo moja kati ya tatu alizokua anawania huku Vanessa Mdee akufanikiwa kuchukua tuzo.
Unataka kuona jinsi ilivyokua kwenye red carpet kabla ya tuzo kutolewa? endelea kutazama hizi picha hapa chini.
Kama ulimiss list ya washindi wa tuzo za Mtv Base 2015 bonyeza HAPA
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.