Mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), Mhe. Husna Mwilima leo Bungeni ameomba radhi shirika la Ndege na Watanzania waliokwazika na kauli yake aliyosema Bungeni tarehe 7/11/2019 kwa kusema Wahudumu wa Ndege ya ATCL (Air hostess) hawana mvuto. (Hii video aliposema kauli hiyo Bungeni.
VIDEO: Mbunge wa Kigoma Kusini (CCM) Husna Mwilima ameomba radhi leo Bungeni kutokana na kauli yake aliyoitoa Nov 7 2019 kwamba Wahudumu wa AIR TANZANIA hawana mvuto, “Naomba radhi Watanzania na Wanawake wenzangu” #MillardAyoBUNGENI pic.twitter.com/kiB2C6DFSH
— millardayo (@millardayo) November 14, 2019
https://youtu.be/ajuXyski8us
HIVI NDIVYO UJENZI WA CHELEZO YA MELI ULIVYOSHIKA KASI MWANZA, BILIONI 36 KUTUMIKA