Premier Bet
TMDA Ad

Mix

#BREAKING: Maamuzi ya Kamati ya Maadili ya Bunge juu ya Mdee, Mbowe na Bulaya

on

Kutoka Bungeni Dodoma leo May 2, 2017, Mbunge wa Kawe Halima Mdee amepewa adhabu ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya Bunge la Bajeti vilivyobaki kuanzia leo. Adhabu hii imetolewa baada Mbunge huyo kutumia lugha ya matusi dhidi ya Spika Job Ndugai na Naibu Waziri wa Afya Hamis Kigwangallah.

Kamati ya Bunge pia imemsamehe Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe baada ya kukiri kosa la kudharau Mamlaka ya Bunge April 4, 2017. Mbunge mwingine ni Ester Bullaya ambaye amepewa karipio baada ya kukiri kosa lake sawa na Mbowe.

VIDEO: Tazama hapa kipindi cha maswali na majibu Bungeni leo May 2. 2017.

Soma na hizi

Tupia Comments