Habari za Mastaa

A-Z LAMAR KUOSHA MAGARI: “wanasema nimefulia…elfu 20 sitoi, nakwenda sokoni mwenyewe (+video)

on

Producer wa muda mrefu ndani ya Bongofleva toka studio za Fish crab si mwingine ni Lamar amekaa kwenye OnAIR with MillardAyo na kuongelea ishu zake mbalimbali ambapo ameweka wazi ishu ya yeye kuacha ku-produce muziki na kujiingiza katika biashara ya kuosha magari pamoja na chakula.

Lamar amesema “aliacha kufanya kazi Fish crab mwaka juzi ni kwa sababu alitaka kuapata kitu cha kufanya kitakachomuingizia extra income na biashara alianza yeye na kaka yake, alitumia Milioni 15 kama mtaji”

OnAir >>“Nimebadili dini na kuwa Muislamu, jina langu jipya ni ABDULMALIK” – BARAKA THE PRINCE

“Nilimtumia MSG Alikiba kumuomba msamaha, HAKUJIBU” – BARAKA

Soma na hizi

Tupia Comments