Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Alieteuliwa na JPM kuwa Mwenyekiti wa Bodi Airtel Nundu afariki

on

Leo September 11, 2019 Waziri wa zamani wa Uchukuzi katika serikali ya Awamu ya Nne na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa wa Kampuni ya Simu Airtel Tanzania, Dk. Omar Nundu amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Nundu kabla ya Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Aitel Tanzania June 2019 alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL tangu Februari 2017.

NAPE ATINGA KWA MIGUU IKULU KUOMBA ASAMEHEWE “SINA AMANI, NAKOSA USINGIZI “

Soma na hizi

Tupia Comments