Leo March 18, 2019 Nakusogezea taarifa kutoka katika ukurasa wa Twitter wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo unakanusha taarifa ambayo inasambazwa mitandaoni kuwa haijatolewa TCRA. “Ni tango pori na Mamlaka inafwatilia aliyetunga na kuisambaza”.
Taarifa hii inayosambazwa mitandaoni haijatolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Ni tango pori na Mamlaka inafwatilia aliyetunga na kuisambaza. pic.twitter.com/Wk0Bb4IzeZ
— TCRA_TANZANIA (@TCRA_Tz) March 17, 2019