NI Mkali kutokea Afrika Kusini, Josiah De Disciple ambae time hii ameachia Vol 2 ya Album yake aliyoipa jina la Spirits of Makoela ina nyimbo zaidi ya 10 ambazo amewashirikisha wakali mbalimbali kutoka nchini humo.
Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza album hiyo mpya iliyopewa jina la Spirits of Makoela Vol 2
Josiah De Disciple ni miongoni mwa watayarishaji wakali wanaoupa heshima muziki wao unaoendelea kupata Airtime hususani kwenye Radio mbalimbali ikiwemo Africa hata nchini Marekani.
Na Kama utakuwa unakumbuka mnamo Feb 26, 2021 Josiah De Disciple alifika nchini Tanzania na aliweza kuifanya Balcon Mix ambayo alishirikiana na Major LeagueDJ’z, wakali hao walizicheza nyimbo zao zaidi ya lisaa limoja pale Level 8 Hyatt Kilimanjaro Dar es Salam
KAMA ULIMISS KUWASHUHUDIA JOSIAH DE DISCIPLE NA MAJOR LEAGUEDJ’Z WALIVYOZICHEZA MIDUNDO AMAPIANO TANZANIA LEVEL 8 HYATT BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA