Habari za Mastaa

VideoMPYA: Marioo katudondoshea ‘inatosha’ Directed by Adam Juma

on

March 20 2019 ndio siku tuliletewa audio ya ngoma mpya ya Marioo inaitwa ‘inatosha’ na sasa June 3 2019 tumeletewa video ya ‘inatosha’ na imefanywa na Director Adam Juma, bonyeza play hapa chini kuitazama

MARIOO EXCLUSIVE INTERVIEW: MARIOO AELEZEA NANDY ALIVYOMUWEKEA POZI SIKU YA KWANZA, ALIVYOKUWA FUNDI GEREJI BAADA YA KUACHA SHULE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI

.

Soma na hizi

Tupia Comments