Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Leonard Mwizarubi amesema kuna watu wanamuombea Rais Magufuli afe lakini Kanisa limetenga siku ya kumuombea na kusema wanamuombea ataendelea kuishi.
Askofu Mwizarubi “Kuna watu wanamuombea Rais ndo maombi yao, hao ho ndo wanaendelea kuomba aishi, yoyote anaekuombea kufa atakufa yeye, sisi tunamuombea Mungu ampe maisha marefu”
https://youtu.be/9zkbMteLLlM
Kibanda Umiza: Mashabiki wa Simba walivyozungumza juu ya kipigo cha Simba Congo