Habari za Mastaa

Mpenzi wa Dogo Janja vs Uwoya? Aristoste kafunguka wa Janja kiboko “Fedha anayo”

on

Aristoste ambaye jina lake limekuwa maarufu mtandaoni kutokana na style yake ya kuwauzia nywele watu maarufu, amefunguka baada ya kile kinachoendelea mtandaoni kuhusu yeye na mteja wake wa muda mrefu Irene Uwoya anayedaiwa kuachana na mume wake Dogo Janja huku Janja akihusishwa na ataarifa za kutoka na mpenzi mwingine.

Kupitia AyoTV na millardayo.com Aristote amefunguka baada ya video na picha zinazomuonesha akiwa karbu na mpenzi huyo wa Dogo Janja huku akiwamwagia sifa kitu ambacho watu wamekihusisha na usaliti kwa kudai kuwa hajafanya vizuri kwa Uwoya ambaye ni mteja wake na amekuwa akimwagia sifa kupitia Istagram page yake.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtizama Aristote akifunguka kuhusu hilo na mengine.

VIDEO: IRENE UWOYA KUONEKANA KWENYE VIDEO MPYA YA DOGO JANJA NA SEAN PAUL

Soma na hizi

Tupia Comments