
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu.
Location ni Mlimani City-Cinema Century, Oysterbay pamoja na Quality Center.
All Is Well
The man from U.N.C.L.E
Fantastic Four
Mission Impossible
Trainwreck

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos