
Ni mrembo wa Kitanzania ambae aliiwakilisha nchi kwenye shindano la Big Brother Africa 2013, Feza Kessy time hii ameshirikishwa kwenye single mpya iitwayo Living my life na rapper Macky 2 kutokea Zambia.
Unaweza uka bonyeza play kusikiliza #Livingmylife
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram, na Facebook, ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook