Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Good News: Mr. Nice katuletea ngoma mpya inaitwa Kioo…(+Audio)

on

Mkali wa Miondoko ya TAKEU Lucas Mkenda a.k.a Mr. Nice aliyewahi kutamba ndani na nje ya Bongo katika kipindi cha miaka ya 2000 kwa ngoma kali kama vile Rafiki, Kikulacho na nyingine kibao. Sasa baada ya kimya kingi hatimaye kaja na hii mpya ya kuitwa Kioo.

Rahisi sana kuipata, bonyeza Play hapa chini na umsikie.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments