Habari za Mastaa

Mrembo Angelina Jolie na The Weeknd gumzo mitandaoni

on

Ni Mkali wa R&B kutokea nchini Marekani, The Weeknd ambae time hii ameingia katika vichwa vya habari baada ya kuonekana kwa mara nyingine akiwa na mrembo Angelina Jolie katika tamasha la Mustafa lililofanyika Los Angeles.
Inadaiwa hii inakuwa ni mara ya pili kwa wawili hao kuonekana wakiwa pamoja na kupelekea kuwa na maneno mitandaoni kuwa huenda wapo kwenye mahusiano ya siri baada ya wiki kadhaa zilizopita walionekana  Giorgio Baldi mjini Los Angeles wakipata chakula cha usiku.
ULIMISS PIGO ZA HARMORAPA RED CARPET BINGWA, BUTI LA MVUA, ANAITAKA MILIONI 10

Soma na hizi

Tupia Comments