Habari za Mastaa

Mswaki aeleza sababu ya kuacha kutumia style ya marehemu Mangwea

on

Ni headlines za aliyekuwa producer wa muzik kutoka studio ya Black Curtains anayejulikana kwa jina la Mswaki ambae alikuwa akitumia style ya uimbaji wa marehemu Albert Mangwea kwenye kazi zake.

Sasa leo Agosti 8, 2016 anaipa heshima millardayo.com & Ayo TV ilipofikia na ilikuwaje..>>>>Nilichokuwa nataka kwa wazazi wake ni ruhusa kwasababu nilikuwa natumia style ya marehemu Mangwea kwenye uimbaji, mara ya mwisho kuona na Mama wa Marehemu tulizungumza vitu vingi sana alikuwa akinieleza hisia zake yaani maumivu’Mswaki

‘Kwahiyo niliamua kuacha kutumia kabisa style ya Albert kutokana na familia yake, zipo nyimbo nyingi studio ambazo nimeimba kama Mangwea kama tano au nne’Mswaki

Msikilize zaidi Mswaki kwa kubonyeza play hapa chini.

ULIIKOSA HII YA PRODUCER MSWAKI KUINGIA RASMI KWENYE UIMBAJI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments