Habari za Mastaa

VIDEO: ‘Ibaki story’ ya Rich Mavoko ilivyotengenezwa South Africa

on

Tunayo single mpya sasa hivi kwenye Radio na TV inaitwa ‘ibaki story’ ya Rich Mavoko ambaye juzi ametangazwa kusainiwa kwenye lebo ya Diamond Platnumz WCB, pamoja na kuyaona au kufikiwa na stori zote hizo inawezekana hukufikiwa na video inayoonyesha jinsi hiyo video ilivyotengenezwa South Africa.

ULIIKOSA YA MAPENZI MOTOMOTO YA JACKLINE WOLPER NA HARMONIZE? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments