Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Kweupe: Vigogo wa CCM walivyonaswa kwa rushwa ya Mil.5 (+video)
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
August 18, 2022
Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX
August 18, 2022
Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Kweupe: Vigogo wa CCM walivyonaswa kwa rushwa ya Mil.5 (+video)
Top Stories

Kweupe: Vigogo wa CCM walivyonaswa kwa rushwa ya Mil.5 (+video)

March 25, 2019
Share
1 Min Read
SHARE

Ofisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Ilala imewakamata vigogo watatu wa CCM kwa makosa ya kujihusisha kuomba rushwa ya Mil.5 na kupokea Mil.3

Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa TAKUKURU Ilala, Christopher Myava amesema viongozi hao ni Jenipher Mushi ambaye ni Katibu wa CCM tawi la Amana, Devotha Bantolaki ambaye ni Katibu Kata CCM Ilala na Katibu wa Hamasa wa CCM Dar es Salaam ambaye ni Frank Joseph.

“Walilamatwa katika mtego wa rushwa ya Sh.Mil 5 na walipokea Mil.3 ambapo mtoa taarufa wetu aliyeombwa kupanga katika moja ya viwanja vya CCM Ilala ambapo tuliandaa mtego wa rushwa na kuwakamata,“amesema.

PIGO: KESI YA UBUNGE YA SALUM MWALIMU YAFUTWA “ALIPE GHARAMA”

You Might Also Like

Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi

Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX

Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”

Shaka: CCM inafuatilia kwa karibu utekelezaji mkakati wa kuwakwamua vijana

Jamaa ajikata koromeo makusudi aeleza sababu ‘Maisha ni magumu, ajira zinasumbua’

TAGGED: Top Storie
Mika Ndaba TZA March 25, 2019
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Filamu ya ‘Us’ ya Lupita Nyong’o yaweka rekodi kwenye mauzo ndani ya wiki
Next Article VIDEO: Majibu ya Shilole kwa wanaosema hajiweki kisanii ‘Mnikome, napenda maisha haya’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
Mix August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
Top Stories August 18, 2022
Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX
Top Stories August 18, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi

August 18, 2022
Top Stories

Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”

August 18, 2022
Top Stories

Shaka: CCM inafuatilia kwa karibu utekelezaji mkakati wa kuwakwamua vijana

August 18, 2022
Top Stories

Jamaa ajikata koromeo makusudi aeleza sababu ‘Maisha ni magumu, ajira zinasumbua’

August 17, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?