Habari za Mastaa

Mwijaku afichua mengine Kajala na Harmonize “Walikuwa wafunge Ndoa” (video+)

on

NI Agosti 5, 2021 ambapo Mwijaku ameongea mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu maamuzi ya Harmonize baada ya kuachana na Mwigizaji Kajala Masanja.
‘Harmonize baada ya Mahusiano yake na Kajala kuisha basi vile vitu vyote alivyotumia nae aliamua kuvipeleka mkoani Mtwara yaani kuvigawa kwasababu kila akiangalia vitu vilivyopo ndani alikuwa anamkumbuka Kajala’- Mwijaku
‘Kwahiyo Harmonize aliamua kuvigawa na kununua vitu vipya vya ndani, Harmonize alimpenda kweli Kajala na hauwezi amini ndio Mwanamke aliempeleka kumtambulisha kwa Baba yake kwamba huyo ndio Mwanamke naenda kuoa’- Mwijaku
‘Aliamua kuacha makando kando yake yote tukikumbuka Harmonize alimuacha Mzungu aliacha Hela kwasababu ya Kajala’- Mwijaku

 

MWIJAKU ATHIBITISHA HARMONIZE KANUNUA JUMBA LA KISASA “AMENUNUA BILIONI 1.5, GHOROFA MOJA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments